Kevin de bruyne kujejea uwanjani katika dabi ya jiji la manchester novemba 11



De Bruyne was among a host of stars who attended the FIFA 19 global launch in London



Kiungo Majeruhi wa Manchester City Kevin De Bruyne anatarajiwa kuwa fiti kwenye mechi ya 'Dabi' dhidi ya Manchester United , Novemba 11.
.
.

Kevin De Bruyne mwenye umri wa miaka 27 alikuwa na msimu bora sana uliopita walipotwaa ubingwa wa EPL lakini amekuwa nje ya dimba tangu mwezi Agosti baada ya kuumia goti mazoezini.
.
.

Hata hivyo akiongea kwenye uzinduzi wa FIFA 19 , De Bruyne amesema kwamba tarehe ya dabi ndio ipo usoni kwake - na huenda akarejea hata mapema zaidi.
.
. " Bado nahitaji wiki tatu, nne , tano , lakini nafika huko. Ni matumaini yangu nitarejea mapema , kuisaidia timu na kucheza vizuri. Ni matumaini yangu nirejee baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa . Nafikiri nitarejea kwenye mechi ya dabi "
.
.

Mapumziko yafuatayo ya mechi za kimataifa itafuata mechi ya Manchester City dhidi ya Liverpool , Oktoba 7 #sokaliveupdates

No comments

Powered by Blogger.