Huyu ndiye kocha bora wa FIFA 2017/2018

Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschamps ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwaka wa FIFA 2018 baada ya kuiwezesha Ufaransa kutwa ubingwa wa soka wa Dunia. #sokaliveupdates

No comments

Powered by Blogger.