mchezaji bora wa FIFA 2017/2018 Lucas Modric


Midfield Maestro 🔥🔥🔥
.
.

Kiungo wa kimataifa wa Croatia na Real Madrid Luka Modric ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa FIFA wa mwaka 2018 akiwapiku Cristiano Ronaldo na Mohamed Salah.
.
.

Kuna swali kwani ???🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ #sokaliveupdates

  •         Kiungo wa kimataifa wa Croatia na Real Madrid Luka Modric ametwaa tuzo ya mchezaji bora
    • wa FIFA wa mwaka 2018 akiwapiku Cristiano Ronaldo na Mohamed Salah

    No comments

    Powered by Blogger.