Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limefungua uchunguzi tena kuhusu fedha na matumizi ya Paris St-Germain.

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limefungua uchunguzi tena kuhusu fedha na matumizi ya Paris St-Germain.
.
.

Hapo awali vinara hao wa Ligi ya Ufaransa waliondolewa hukumu na UEFA Finacial Fair Play mwezi Juni , lakini UEFA wamesema kwamba maamuzi hayo yatakaguliwa tena.
.
.

Kuna kanuni ya FFP inayoitwa ' break-even ' ambayo inahitaji vilabu kuwa na uwiano wa mapato na matumizi. #sokaliveupdates

No comments

Powered by Blogger.