Wachezaji 10 bora kuangaliwa zaidi katika ligi kuu barani ulaya msimu wa 2018-19

#10. Harry Kane mchezaji wa (Tottenham Hotspur) na Taifa la Uingereza

#09 Paul Pogba mchezaji wa (Manchester united ) na timu ya Taifa ya Ufaransa
#8 Robert Lewandowski mchezaji wa (Bayern Munich) na Taifa la Poland
#7 Sergio Kun Aguero mchezaji wa (Manchester City) na timu ya Taifa ya Argentina
#6 Gareth Bale mchezaji wa (Real Madrid) na timu ya Taifa ya Wales

#5 Neymar Junior do Santos mchezaji wa (Paris Saint-Germain) na kapteni wa Brazili
#4 Mohamed Salah mchezaji wa (Liverpool) na Misri

#3 Cristiano Ronaldo mchezaji wa (Juventus) na Ureno
#2 Kylian Mbappe mchezaji wa (Paris Saint-Germain) na timu ya Taifa ya Ufaransa

#1 Lionel Messi mchezaji wa (Barcelona) na kaptein wa Argentina




Post a Comment