Home>kimataifa>Alichozungumza Mateo Kovacic mchezaji wa chelsea na timu ya Taifa ya Croatia juu ya kiungo wa zamani wa Manchester united na timu ya taifa ya Uingereza Paul School
Alichozungumza Mateo Kovacic mchezaji wa chelsea na timu ya Taifa ya Croatia juu ya kiungo wa zamani wa Manchester united na timu ya taifa ya Uingereza Paul School
Kiungo wa Chelsea Mateo Kovacic amesema kwamba bado anaangalia video za kiungo wa zamani wa Manchester United Paul Scholes ili kuzidi kuboresha daraja lake . . . " Kila mchezaji anatakiwa kuwa mwenyewe - lakini kwangu mimi Scholes alikuwa mmoja wa viungo bora kuwahi kucheza soka." . . " Alikuwa wa ajabu sana. Bado nafurahia sana kuangalia Video zake kwenye Youtube . Kuna muda huwa naenda nyumbani kumuangalia na kujifunza baadhi ya vitu." . . " Alikuwa ana kila kitu , alikuwa kiungo wa kisasa - anafunga magoli , anatengeneza magoli na anazuia vizuri . Sitaki kumuiga mtu lakini napenda kumuangalia Scholes . Na pia naangalia wachezaji wengine kuona nini naweza kuboresha kwangu." . . "Wachezaji kama Luka Modric na Andres Iniesta, pia." #sokaliveupdates
Post a Comment