Hatimaye tuzo za Ballon D'or kuungana na tuzo zingine mbili



See the source image

Tuzo za 63 za Ballon D'or zitaungana na tuzo mbili mpya, Tuzo ya Ballon D'or ya Wanawake na kikombe cha Kopa ( The Kopa Trophy )
.
The Kopa Trophy itazawadiwa kwa mchezaji bora chini ya miaka 21. Ambaye atachaguliwa na washindi hai 33 wa tuzo ya Ballon D'or , kati ya hao washindi wapo pia Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. #sokaliveupdates

No comments

Powered by Blogger.