Ronaldo asema hatohudhuria kwenye sherehe za kumtangaza mchezaji bora wa FIFA 2017/2018 pale london leo kwa sababu hizi




See the source image



Mchezaji bora wa FIFA 2017/2018 atatangazwa leo pale jijini London hapo baadae lakini mshindi mtetezi Cristiano Ronaldo hatohudhuria sherehe hizo .
.
.

Sababu ambayo imetajwa kwa Ronaldo kutohudhuria ni ya kimichezo kutokana na ratiba ya Juventus kucheza mechi jana usiku na pia wanamechi nyingine siku ya Jumatano, ikimaanisha kwamba hakuna mchezaji wao hata mmoja ambaye atahudhuria.
.
.

Tofauti na tuzo za UEFA kule Monaco, safari hii Ronaldo amewaarifu waandaji kwamba hatokuwepo. #sokaliveupdates

No comments

Powered by Blogger.