Pogba asema wanatakiwa kushambulia zaidi wakiwa katika uwanja wa nyumbani
"Tupo nyumbani. Pindi tunapokuwa nyumbani tunatakiwa kushambulia, kushambulia , kushambulia. Hiyo ni Old Trafford. Tupo hapa kushambulia. Mimi ni mchezaji sio Meneja." #sokaliveupdates
Post a Comment